04 Jul Babka ya chokoleti
MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
Saa 2h30
UGUMU
KWA
Watu 4
1
Weka unga, chumvi, sukari, hamira na kokoa iliyosagwa kwenye bakuli. Changanya vikiwa vikavu.
2
Ongeza mayai, maziwa, mafuta na maji.
3
Kanda mpaka manda iache kuganda mikononi.
4
Acha itulie kwenye bakuli kwa muda wa dakika 30.
5
Kanda tena kidogo kuondoa hewa kisha gawanya kwenye vipande vya gramu 90-100.
6
Unda viwe kama mipira kuvipa umbo. Viweke kwenye vibati vya kuokea vidogovidogo kisha ongezea chokoleti iliyo katwa vipande vidogo vidogo.
Unaweza pia kupenda:
Sorry, the comment form is closed at this time.