Saf-instant®, hamira kavu ya papo hapo ya kuokea, inayorahisisha maisha kwa wale wanaopenda kutengeneza mikate yayo wenyewe!
RAHISI KUTUMIA
Hamira kavu ya Saf-instant® haihitaji kuchanganywa kwanza kwenye maji, unaweza kuiongeza moja kwa moja kwenye unga wako kabla ya kukanda.
VIPIMO VYA VIFURUSHI VINAVYOFAA
Vipimo anuwai vinavyofaa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na kwa aina zote za mapishi.
URAHISI WA KUHIFADHI
Hakuna haja ya kuhifadhi Saf-instant® kwenye baridi
Tamu au chumvi, kwa chakula au kwa mapumziko ya kitamu, tafuta hapa mapishi rahisi kuanza na Saf-instant® na kuoka wapenzi wako
Msimamo wa Saf-instant® ni kusaidia waokaji wa nyumbani siku hadi siku kwa kufanya kila kiwezekanacho kutimiza mategemeo yao. Hapa tunajibu maswali yaulizwayo mara kwa mara.
Mambo ya msingi juu ya hamira
Je hamira ya kuokea hutumika namna gani?