07 Jul Chapati za Hamira za Pilipili
MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
Saa 1h30
UGUMU
KWA
Watu 4
1
Weka unga, chumvi, pilipili iliyosagwa na hamira ya Saf-instant kwenye bakuli. Vichanganye vikiwa bado vikavu.
2
Ongeza maji na mtindi kisha changanya kwa kutumia mwiko mpaka vichanganyike kabisa.
3
Kanda manda kwa muda wa dakika 5.
4
Paka mafuta juu ya mada na kanda kwa muda wa dakika 10
5
Funika na utandao wa plastiki (cling film) na acha manda iumuke kwa muda wa dakika 30.
6
Kanda manda kwa muda wa dakika 5. Kisha igawanye kwenye vipande 10.
7
Funika na kitambaa kisafi na acha manda iumuke kwa muda wa dakika 10.
8
Sukuma vipande vya manda.
9
Pasha moto kikaangio na kipake mafuta kisha kaanga chapati za hamira kwa dakika 2 kila upande.
Unaweza pia kupenda:
Sorry, the comment form is closed at this time.