Kaimati za nanasi

Kaimati za nanasi

preparation-75x75

MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA

Saa 1h30

difficulty-75x75

UGUMU

medium
portions-75x75

KWA

Watu 4

Whisk

VIAMBATO

  • 5.5 g ya hamira ya Saf-instant Dry Yeast
  • 300 g za unga
  • 150 g za sukari nyeupe
  • 5 g za sukari ya vanila
  • 1 kijiko kidogo cha kungumanga iliyosagwa
  • 200 ml maji ya vuguvugu
  • 100 g za vipande vilivyokatwakatwa vya nanasi
  • Mafuta ya kukaangia

BIDHAA INAYOANGAZIWA

SAF-INSTANT-11g-RED

1

Changanya unga, kungumanga iliyosagwa, sukari, sukari ya vanila na hamira ya Saf-instant Dry Yeast katika bakuli. Changanya na weka tundu katikati.

2

Ongeza maji kisha anza kukoroga rojo ya ngano.

3

Funika rojo ya ngano na kitambaa kisafi na acha iumuke katika sehemu yenye joto kwa muda wa saa moja.

4

Weka vipande vya nanasi kwenye rojo na changanya vizuri.

5

Kaanga rojo kwenye kikaangio kilichopakwa mafuta kwa mafungu mafungu kwa kipimo cha kama kijiko kikubwa .

6

Furahia!

Unaweza pia kupenda:

No Comments

Sorry, the comment form is closed at this time.