20 Jul Maandazi ya Nazi
MUDA
Saa 1:30
UGUMU
KWA
Watu 6
1
Weka unga, chumvi, hamira, sukari na machicha ya nazi kwenye bakuli kisha vichanganye vikiwa vikavu.
2
Ongeza tui la nazi kisha changanya kwa kutumia mwiko mpaka vichanganyike kabisa
3
Funika na utandao wa plastiki (cling film) na acha manda iumuke kwa muda wa saa 1.
4
Igawe kwenye vipande kisha viunde viwe kama mipira midogo.
5
Kaange kwenye mafuta yenye moto wa kutosha.
You may also like:
Sorry, the comment form is closed at this time.