28 May Mikate mviringo midogo ya chokoleti iliyo na mtindi
MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
Saa 2h30
UGUMU
KWA
Watu 4
1
Changanya unga, chumvi na hamira ya Saf-instant Dry Yeast kwenye bakuli. Koroga mchanganyiko na weka tundu katikati.
2
Mimina maji ya vuguvugu, mtindi, ute wa yai na asali Changanya na kukanda manda, kisha acha iumuke kwa muda wa saa 1
3
Bonyeza na ondoa hewa kwenye manda kisha gawanya kwenye vipande sita. Sukuma kila kipande, weka kipande mraba kimoja cha chokoleti ya kupikia katikati na unda iwe mviringo.
4
Weka mikate mviringo kwenye sinia la kuokea na acha iumuke kwa muda wa saa 1 tena.
5
Paka kiini cha yai juu ya mikate na oka kwenye joto la 180oC kwa muda wa dakika 20.
6
Furahia!
Unaweza pia kupenda:
Sorry, the comment form is closed at this time.