21 Jul Mkate Mtamu wa Tangawizi
MUDA
Saa 2:30
UGUMU
KUTOSHA
Watu 6
1
Weka unga, kungumanga, chumvi, tangawizi, hamira na sukari kwenye bakuli kisha tengeneza tundu katikati.
2
Ongeza mayai, siagi, na maji.
3
Kanda mpaka manda iache kuganda mikononi.
4
Acha itulie kwenye bakuli ndani ya friji kwa muda wa dakika 20.
5
Gawanya kwenye vipande vya takriban gramu 20.
6
Vizungushe viwe kama kamba kisha visuke.
7
Acha viumuke kwa muda wa saa 1 na dakika 30.
8
Vipambe juu kwa kupaka yai lililopigwa.
9
Oka kwenye oveni yenye joto la 200oC kwa muda wa 15 min.
Mbinu: Tumia maji ya baridi sana kuchelewesha uumukaji wa hamira.
You may also like:
Sorry, the comment form is closed at this time.