05 Jul Pizza ya mboga mboga
MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
Saa 1h50
UGUMU
KWA
Watu 4
1
Mimina maji ya vuguvugu kisha koroga hamira ya Saf-instant® kwenye bakuli kubwa.
2
Weka unga, chumvi na mafuta ya zaituni Changanya mpaka manda ichanganyike vizuri.
3
Kanda kwa muda wa dakika 5.
4
Unda manda kwenye mviringo kama mpira, funika kisha acha iumuke kwa muda wa dakika 40.
5
Sukuma mipira ya manda kwa kutumia mpini kisha ongeza vijazio.
6
Oka kwenye oveni iliyopashwa moto hadi mionzi ya 240°C kwa muda wa dakika 15.
Unaweza pia kupenda:
Sorry, the comment form is closed at this time.