22 Apr Vijiti vya mkate biskuti wa asali
MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
Saa 1
UGUMU
KWA
4
1
Changanya unga, chumvi, hamira ya Saf-instant Dry Yeast na kisha koroga.
2
Ongeza asali, mafuta ya zeituni, vichanganye kisha kanda manda.
3
Sukuma kwenye umbo la mstatili wa 30cm x 10cm.
4
Weka kwenye sinia ya kuokea alafu paka mafuta juu ya manda.
5
Nyunyizia unga wa semolina uliosagwa vizuri sana juu.
6
Acha manda iumuke kwa muda wa saa 1.
7
Kata manda kwenye vipande vipande kama vijiti na vivute vifikie urefu unaotaka.
8
Panga vijiti vya manda kwenye sinia la kuokea.
9
Oka kwenye oveni ya 220o kwa dakika 20.
Furahia!
You may also like:
Sorry, the comment form is closed at this time.