08 Aug Maandazi coco


MUDA
Saa 1

UGUMU


KUTOSHA
4 persons
1
Weka maji ya vugu vugu ndani ya bakuli la kuchanganyia na changanya hamira
2
Weka unga wa ngano, unga wa mtama, chumvi, sukari, siagi au majarini iliyolainishwa na nazi.
3
Changanya manda mpaka yote itakapo kuwa inaugumu sawa. Kanda kwa dakika 5
4
Unda manda iwe kwenye umbo la mviringo. Acha itulie kwa muda wa dakika 2
5
Sukuma manda iwe mstatili kisha kata vipande 8 vinayolingana
6
Weka vipande kwenye kitambaa cha jikoni na acha viumuke kwa muda wa dakika 45
7
Washa jiko kwa moto wa wastani upashe mafuta moto na kaanga vipande mpaka pande zote mbili zigeuke kuwa rangi ya kahawia isiyoiva sana.
8
Toa kwenye mafuta kisha weka kwenye karatasi laini ya kunyonya mafuta.
You may also like:
Sorry, the comment form is closed at this time.