27 Sep Maandazi ya Kashata za Karanga
MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
saa 2.30
UGUMU
KWA
Watu 6
1
Weka unga, chumvi, hamira na sukari kwenye bakuli kisha vichanganye vikiwa vikavu.
2
Ongeza maji kisha changanya kwa kutumia mwiko mpaka vichanganyike kabisa
3
Funika na utandao wa plastiki (cling film) alafu acha manda iumuke kwa muda wa saa 2.
4
Toa hewa kwenye manda na weka kashata ya karanga iliyovunjwa vunjwa kisha changanya
5
Kaanga kwenye mafuta yenye moto wa kutosha na ipulia kwenye karatasi ya shashi ya jikoni.
You may also like:
Sorry, the comment form is closed at this time.