15 Dec Mikate Sukari Duara ya Nanasi
MUDA
Saa 2:25
UGUMU
KUTOSHA
6 persons
1
Weka maziwa ya vugu vugu ndani ya bakuli la kuchanganyia na changanyia humo hamira.
2
Ongeza unga, chumvi, sukari, mayai na siagi au majarini. Changanya manda mpaka yote itakapo kuwa inaugumu sawa.
3
Kanda kwa dakika 5.
4
Funika na acha itulie kwa muda wa dakika 30.
5
Gawa manda kwenye vipande 6 vinavyolingana.
6
Viunde viwe na umbo la mviringo. Acha vitulie kwa muda wa dakika 10.
7
Sukuma manda ziwe na upana sawa na bakuli ndogo.
8
Acha zitulie kwa muda wa saa 1.
9
Weka matundu kwenye manda zako kwa kutumia vidole vyako. Weka kiasi kidogo kidogo cha siagi au majarini kwenye madundu. Jazia na vipande vidogo vya nanasi kisha nyunyizia sukari juu.
10
Oka kwenye oveni iliyokwisha pashwa moto hadi 210°C kwa muda wa dakika 10.
You may also like:
Sorry, the comment form is closed at this time.