16 Sep Mikate ya Sinia ya Unga wa Atta
MUDA
Saa 1:50
UGUMU
KUTOSHA
5 persons
1
Weka maji ya vugu vugu ndani ya bakuli la kuchanganyia na changanyia humo hamira.
2
Weka unga wa ngano, unga wa atta, chumvi, sukari, nazi nasiagi au majarini iliyolainishwa . Changanya manda mpaka yote itakapo kuwa inaugumu sawa.
3
Kanda kwa dakika 5.
4
Unda manda iwe kwenye umbo la mpira. Acha itulie kwa muda wa dakika 30
5
Unga ukishaumuka, ukate kwenye vipande 5 vinavyolingana
6
Viunde viwe na umbo la mviringo. Acha vitulie kwa muda wa dakika 10
7
Vibonyeze mpake viwe tambarare zenye upana wa 12 cm, kisha viweke kwenye kitambaa cha jikoni
8
Funika na acha vitulie kwa muda wa dakika 30
9
Weka mafuta kidogo kwenye kikaangio Ukitumia moto wa wastani, funika kwa dakika 4, huku ukivigeuza kila baada ya dakika moja.
You may also like:
Sorry, the comment form is closed at this time.