22 May Mkate mtamu uliosukwa wa moringa
MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
Saa 2 15
UGUMU
KWA
6
1
Changanya unga wa moringa, hamira na chumvi kwenye kikombe na hakikisha vinachanganyia vizuri.
2
Pigapiga mayai, ute wa yai na maji mpaka vichanganyike vizuri kisha koroga mpaka viwe kitu kimoja.
3
Kanda kwa muda wa dakika 10.
4
Unda iwe mviringo kama mpira.
5
Paka bakuli mafuta kisha weka manda ndani.
6
Funika na kisha acha iumuke kwa muda wa dakika 45.
7
Piga manda itoke hewa.
8
Kanda manda na kisha igawanye kwenye vipande 6.
9
Vingirisha kila kipande kiwe kama kamba yenye urefu wa 30cm.
10
Kusanya ncha za upande mmoja.
11
Ziunganishe pamoja.
12
Suka kamba na unganisha ncha mwishoni chini ya msuko.
13
Nyunyizia unga, funika na kisha acha uumuke kwa muda wa dakika 30.
14
Pangusia ute wa yai uliyopigwa kwa juu.
15
Oka kwenye oveni ya 180o kwa dakika 35.
16
Furahia!
You may also like:
Sorry, the comment form is closed at this time.