Mkate wa Dagaa Upapa

Mkate wa Dagaa Upapa

preparation-75x75

MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA

saa 1.45

difficulty-75x75

UGUMU

easy
portions-75x75

KWA

Watu 4

Whisk

INGREDIENTS

 • 500g flour
 • 200g water
 • 10g salt
 • 6g Saf Instant dry yeast
 • 360g sardines
 • 50g oil
 • 100g liquid milk
 • 30g sugar
 • 1 egg
 • ½ onion
 • 2 peppers

FEATURED PRODUCT

SAF-INSTANT-11g-RED

1

Weka unga, chumvi, sukari na hamira kwenye bakuli; vichanganye vikiwa vikavu.

2

Ongeza yai, maziwa kisha maji. Kanda mpaka manda iache kuganda mkononi.

3

Umba mpira wa manda kisha acha itulie kwa muda wa dakika 20.

4

Weka dagaa, kitunguu kilichokatwa katwa vipande vidogo vidogo na pilipili kwenye bakuli na changanya vyote.

5

Toa hewa kwenye manda kisha gawanya vipande kwa kutumia mzani. Pima vipande vidogo vya takriban gramu 50. Sukuma vipande hivyo kwa kutumia mpini. Weka mchanganyiko wa dagaa katikati ya vipande hivyo, finya ncha pamoja kisha kandamiza taratibu kwa kutumia kiganja cha mkono wako.

6

Weka kwenye sinia na acha viumuke kwa muda wa saa 1.

7

Paka yai lililopigwa juu kwa ajili ya kupamba.

8

Oka kwenye oveni yenye joto la 180oC kwa muda wa dakika 15.

Mbinu: weka viungo unavyopendelea

You may also like:

No Comments

Sorry, the comment form is closed at this time.